KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA. (TATIZO LA BAWASIRI.)

*BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI*




BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE
⚫Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa. 


   AINA ZA BAWASIRI⤵️





1. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa.

2.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu.

▶️HATUA YA KWANZA Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pake pa kawaida.
▶️HATUA YA PILI 
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kujisaidia
▶️HATUA YA TATU 
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
▶️HATUA YA NNE
ii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi

SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI




(1) Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
(2) Tatizo sugu la kuharisha
(3) Ujauzito
(4) Uzito wa mwili kupita kiasi
(5) Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa  (kulawitiwa)
(6) Kupata haja kubwa ngumu
(7) Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.
(8) Kunywa pombe
(9) kula sana nyama nyekundu
(10) Vidonda vya tumbo
(11) ngiri
(12) Kula sana pilipili
(13 ) kunyanyua vitu vizito
                   
ATHARI ZA BAWASIRI
▶️Upungufu wa damu mwilini
▶️Kutokwa na kinyesi bila kijitambua 
▶️ kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
▶️kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
▶️kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
▶️Kupata tatizo la kisaikolojia 
➡️  Kutopata ujauzito
➡️ Mimba kuharibika

NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI
▶️Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi 
▶️ kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
▶️Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
▶️Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
➡️  Acha kunywa pombe
➡️  Punguza kula nyama nyekundu
➡️  Punguza matumizi ya pili pili.
➡️  Jitibie vidonda vya tumbo

⚫DALILI ZA BAWASIRI
▶️kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
▶️kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
▶️kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
▶️kupata kinyesi chenye damu
▶️kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

⚫MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI



 bawasiri hutibika kwa dawa asili tu MFANO MZURI WA DAWA ASILI NI DAWA IITWAYO "Bawasiri fluid na Bawasiri powder" hii  inatibu na kuondoa tatizo moja kwa moja hivyo ni vizuri kutumia dawa hizo


Tiba asili 
Tanzania🇹🇿

+255755162724
+255717541527
muhammadliwaya@gmail.com

Maoni 7 :

  1. Majibu
    1. Unaweza kunipigia 0755162724 kwa maelezo zaidi

      Au fuata link itakuleta WhatsApp

      https://wa.me/message/C624EOD67YBMP1

      Futa
  2. Nimependa kwa maelezo mazuri je Kama nahitaji naipataje

    JibuFuta
    Majibu
    1. Unaweza kuipata ofisini Dar es salaam kama upo mkoani unaweza kutumiwa

      Kwa maelezo zaidi unaweza kupiga 0755162724 au unaweka kuja WhatsApp kwa maelezo ya kirefu zaidi

      https://wa.me/message/C624EOD67YBMP1

      Futa
  3. Zanzibar hamna wakala

    JibuFuta
    Majibu
    1. Tunaye yupo mkunazini
      Namba +255714789144

      Mwambie namba kakupa Dr Liwaya

      Futa

Inaendeshwa na Blogger.