KULEGEA KWA MISULI YA UUME

TATIZO LA KULEGEA/KUSINYAA/KUDHOOFIKA KWA UUME°°*
(Erectile dysfunction)




▶️ Ni hali ya kutoweza/kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume(Dhakar) kwa muda mrefu na kwa uimara wakati wa tendo la ndoa.


*__DALILI ZA MTU MWENYE TATIZO LA UUME KULEGEA/KUDHOOFIKA_*

↘️ Kupata Ugumu wa kusimamisha uume.
↘️ Kutoweza kusimamisha uume kwa muda mrefu.
↘️ Kupungukiwa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
↘️Uume kusinyaa ukiwa ukeni.
↘️Uume kusimama ukiangalia chini.
↘️Uume kua na mikunjo mingi.


*_SABABU ZINAZOPELEKEA UUME KULEGEA/KUSINYAA/KUWA MDOGO/KUDHOOFIKA_*

➡️ Magonjwa ya vidonda vya tumbo (Peptic Ulcers Diseases)
➡️ Ngiri ( Hernia)
➡️ Magonjwa ya moyo(Cardiovascular diseases)
➡️ Kuziba kwa mishipa ya damu (atherosclerosis)
➡️ Kisukari (both diabetes)
➡️ Shinikizo la damu la juu (Hypertension)
➡️ Uzito uliopitiliza (Obesity)~ BMI above 25 kg/m²
➡️ Kuzidi kwa mafuta mwilini(Lehemu)~High Cholesterols)
➡️ Matumizi ya tumbaku( Uvutaji wa sigara)
➡️ Kutokwa makovu ndani ya uume kutokana na matatzo mbalimbali~ *_Peyronie`s disease_*
➡️ Kuwa na Tezi dume
➡️ Kutumia vilevi na madawa ya kulevya
➡️ Matatizo ya kutokupata usingizi
➡️ Upasuaji au marejaha katika via vya uzazi.
➡️ Marejaha katika uti wa Mgongo
➡️ Kuwa na kiwango cha chini cha hormone iitwayo *_testosterone_*
➡️ Msongo wa mawazo(stress)
➡️ Matatizo ya kisaikolojia( Phycological problems).
➡️ Magonjwa ya mfumo wa kati wa fahamu ambayo hupelekea mitetemeko ya mwili *(Parkinson's disease)*
➡️ Matatizo ya mfumo wa fahamu yanasosababishwa na kinga ya mwili kuathiri/kula sehemu yenye kuhifadhi Neva(myelin) ambapo hupelekea Matatizo ya kimawasiliano kati ya ubongo na mwili kwa ujumla.Tatizo hili hujulikana kitaalamu kama *_Multiple sclerosis_*.
➡️ Kupiga punyeto(Masterbating).
➡️ Kutazama picha chafu(picha za uchi).
➡️ Matatzo ya Bawasiri (Hemorrhoids)




*_HATARI/ATHARI YA TATIZO LA ULEGEVU WA UUME_*

➡️ Kutoweza kuweza kuridhika na kumridhisha mwanamke wakati wa tendo la ndoa
➡️ Kupata Msongo wa mawazo.
➡️ Kuvunjika kwa ndoa/migogoro katika ndoa.
➡️ Kushindwa kumtungisha mimba mwanamke.
➡️ Kutokujiamini.
➡️ Kupata Matatizo ya kisaikolojia.

_____________________________________
*_NJIA ZA KUEPUKANA NA TATIZO LA UUME KUWA LEGEVU_*
____________________________________
➡️ Tibu Matatizo ambayo hupelekea tatizo la uume KULEGEA kama vile ngiri, Vidonda vya tumbo nk.
➡️ Acha kuvuta sigara
➡️ Acha kunywa pombe
➡️ Acha kutumia madawa ya kulevya
➡️ Fanya mazoezi
➡️ Punguza/acha Msongo wa mawazo.
➡️Achana kabisa na madawa ya kizungu ya kuongeza nguvu...viagra,vega,erectal..

IMEANDALIWA NA

Liwaya

Tiba Asilia
Tanzania🇹🇿

+255 755 162 724
+255 717 541 527

Asanteni.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.