DAWA ASILIA YA TATIZO LA NGIRI NA CHANGO KWA WANAWAKE

TATIZO LA NGIRI(HERNIA)/CHANGO NA TIBA YAKE ASILI



:Dawa ya ngiri(Ngiri Sugu)


WhatsApp/Calls: 0755162724/0717541527
Email: muhammadliwaya@gmail.com


Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo.



Fig2: Picha ikionesha baadhi ya aina za ngiri


Tunaweza kuufahamu zaidi ugonjwa wa ngiri kama hali inayotokea katika mwili ambapo sehemu fulani ya nyama ya viungo mbalimbali vya mwili hujipenyeza kupitia sehemu iliyo dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili. Sehemu inayoathiriwa mara nyingi ni maeneo ya tumbo, kokwa, korodani na kadhalika ambapo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavopitisha mishipa ya fahamu inayohudumia kokwa (Spesmatic Cord), hivyo baada ya kujipenyeza huteremka hadi ndani ya korodani hali ambayo hukamilisha kuwepo kwa ugonjwa wa mshipa wa ngiri.

Sehemu ambazo Ngiri inaweza kutokea ni pamoja na maeneo ya:

↪Tumboni

↪Eneo la kinena

↪Eneo la paja kwa juu

↪Eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku za nyuma

↪Kifuani

Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa jinsia zote na wa umri wowote

AINA ZA NGIRI
Ugonjwa wa mshipa wa ngiri unaweza kujitokeza maeneo mbalimbali ya mwili na aina ya ngiri hutegemea na sehemu ngiri ilipojitokeza.

✍Ngiri maji
Hii ni aina ya ngiri ijulikanayo pia kwa kitaalamu kama (hydrocele)

✍ Ngiri kavu (Hernia)
Hujulikana pia kama ‘fermoral hernia’ kwa wanawake na huitwa ‘scrotal hernia’ kwa wanaume.

✍Ngiri ya kwenye kifua Hujulikana pia kitaalamu kama ‘hiatus hernia’

✍Ngiri ya tumbo Hujulikana pia kama ‘Abdominal Hernia’

✍ Ngiri ya kwenye kitovu
Hujulikana pia kama ‘Umbilical Hernia”.

✍Ngiri ya sehemu ya haja kubwa
Hujulikana pia kama ‘Anal Hernia’


DALILI ZAKE KWA MWANAUME:
DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.
Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵
1📎Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
2📎Kupiga mingurumo tumboni.
3📎Kujaa gesi tumboni.
4📎Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5📎Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.
6📎Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7📎Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8📎Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
9📎Nuru ya macho hupotea taratibu.
10📎Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11📎Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12📎Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.
13📎Maumivu makali ya mgongo au kiuno
14📎Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto


MWANAMKE MWENYE CHANGO LA UZAZI ANA DALILI ZIFUATAZO :-

👉Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia Katika siku zake za hedhi

👉Kuhisi maumivu makali wakati wa
kushiriki tendo la ndoa 

👉Siku zake za hedhi hazitakuwa na
ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika

👉Hujisikia homa kali
anapokaribia siku zake za dhedhi

👉Kupatwa hasirakali/
jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.

👉Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.

👉Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za
uke.

👉Kuchukia kushiriki tendo la ndoa

👉Kupata uvimbe
kwenye kizazi

👉Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.

MADHARA YAKE KWA MWANAMKE

👉Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba

👉Mwanaamke
anaweza kuwa tasa kabisa

👉Kuingia na kutoka Kwa mimba

👉Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni

👉Kuwa na uke mdogo sana

MADHARA KWA MWANAUME

👉Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba

👉 Kiwango
kinachozalishwa cha megu ni kidogo mno

👉Kuwa na kiwewe
cha kushiriki tendo la ndoa

👉Kusimama na kusinyaa kwa
uume

TIBA YA CHANGO LA UZAZI

Ni vizuri sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia.

Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za
hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi/Nguri hutibiwa na
miti shamba/Dawa za asili/mimea.




BAADHI YA MIREJESHO YA DAWA






Fig 3&4: Baadhi ya mirejesho ya dawa ya ngiri/Chango kutoka kwa wateja wetu

Zipo dawa asili zenye uwezo wa kuondosha kabisa tatzo la ngiri bila upasuaji kama vile kuna dawa iitwayo NGIRI SUGU,ni dawa ambayo hutibu ngiriChango na kuiondosha kabsa bila upasuaji kwa muda mfupi kabsa

Kwa mahitaji ya dawa ya ngiri Wasiliana nami kwa mawasiliano;

WhatsApp/Calls: 0755162724/0717541527
Email: muhammadliwaya@gmail.com

Liwaya

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.