DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
DALILI ZA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO:
▶️ Kuchoka choka sana bila sababu maalum
▶️Kuuma mgongo au kiuno
▶️Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia
▶️Kizunguzungu
▶️Kukosa usingizi
▶️Usingizi wa mara kwa mara
▶️Maumivu makali sehemu ya mwili
▶️Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali
▶️Kichefuchefu
▶️Kiungulia
▶️Tumbo kujaa gesi
▶️Tumbo kuwaka moto
▶️Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
▶️Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi
▶️ Kutapika nyongo
▶️Kutapika damu au kuharisha
▶️Sehemu za mwili kupata ganzi
▶️Kukosa hamu ya kula
▶️Kula kupita kiasi
▶️ Kusahahu sahau na
▶️ Hasira bila sababu.
Kwa tiba sahihi ya vidonda vya tumbo wasiliana nami
+255 755 162 724
+255 717 541 527
Tiba Asilia
Tanzania
Asanteni.
Hakuna maoni